Simamia Biashara Yako
Popote Ulipo

Mfumo wa biashara uliotengenezwa kwa mazingira ya Tanzania. Dhibiti mauzo, stoo, matumizi, madeni na faida kupitia simu au kompyuta. "Biashara Yako, Faida Yako"

Kituo cha Biashara

Taarifa za biashara kwa wakati halisi.

Siku 7
+12% ↗

Mapato Yote

TSh 3,860,606

+12% ↗

Faida Halisi

TSh 760,094

+12% ↗

Miamala

15

Mwenendo wa Mauzo ya Wiki

Fanya Kazi Popote

Taarifa zako zote sehemu moja—kwenye kompyuta, simu na duka lako la mtandaoni.

Mfumo wa Kompyuta

  • Dashibodi ya stoo, mauzo, wafanyakazi na uhasibu
  • Ripoti za mapato, matumizi na faida
  • Watumiaji na matawi mengi

Inafaa kwa: Ofisi, ripoti, uhasibu na mishahara

Programu ya Simu

  • Uza haraka na sasisha stoo papo hapo
  • Arifa za mauzo na bidhaa zinapokaribia kuisha
  • Endelea kufanya kazi hata mtandao ukiwa hafifu

Inafaa kwa: Dukani, mauzo ya nje na usimamizi ukiwa safarini

Duka la Mtandaoni

  • Wateja waagize bidhaa moja kwa moja
  • Bei na stoo vinasasishwa kutoka Faida360
  • Pokea malipo ya simu

Inafaa kwa: Kuuza mtandaoni na kufikia wateja zaidi

Changamoto Zinazokula Faida Yako

Biashara nyingi zinashindwa kukua kutokana na ukosefu wa usimamizi sahihi.

Stock inapotea bila kujua

Wateja wanadaiwa lakini hawalipi

Hujui faida yako halisi

Mishahara na wafanyakazi ni kazi kubwa

Matawi mengi, hakuna mfumo mmoja

Muda mwingi unapotea kwa kazi za mikono

Faida360 Inakusaidia

Mfumo kamili wa kusimamia biashara yako — kutoka stock hadi mishahara, mauzo hadi uzalishaji.

Stoo na Bidhaa

Usimamizi wa Bidhaa

Fuatilia bidhaa zinazoingia na kutoka, pata arifa za stoo ndogo na simamia stoo za matawi.

Sales & POS

Mauzo na POS

Fanya mauzo kwa haraka, toa ankara na risiti, kisha fuatilia mauzo ya kila siku.

Wateja na Madeni

Usimamizi wa Wateja

Jua kila mteja anadaiwa kiasi gani, rekodi malipo na fuatilia historia ya manunuzi.

Fedha na Uhasibu

Ripoti za Fedha na Uhasibu

Pata ripoti za faida na hasara, mtiririko wa fedha, matumizi na leja kuu.

Wafanyakazi na Mishahara

Rasilimali Watu na Mishahara

Simamia wafanyakazi, mahudhurio, likizo, mishahara na mikopo sehemu moja.

Ununuzi na Wasambazaji

Ununuzi na Wasambazaji

Tengeneza oda za ununuzi, fuatilia bidhaa ulizonunua na madeni ya wasambazaji.

Uzalishaji

Uzalishaji

Panga malighafi, gharama na hatua za uzalishaji kwa kutumia Bill of Materials (BOM).

Duka la Mtandaoni

Duka la Mtandaoni

Onyesha bidhaa zako mtandaoni na unganisha oda moja kwa moja na stoo na mauzo.

Usimamizi wa Matawi

Usimamizi wa Matawi

Simamia matawi mengi kutoka dashibodi moja na upate ripoti ya kila tawi.

Malipo ya Simu

Malipo ya Simu

Pokea na fuatilia malipo kupitia mitandao inayotumika Tanzania.

VICOBA na Fedha Ndogo

VICOBA na Fedha Ndogo

Simamia vikundi, michango, mikopo na marejesho kwa uwazi.

Matumizi Bila Mtandao

Bila Mtandao

Endelea na kazi muhimu mtandao unapokuwa hafifu na sawazisha taarifa unapopatikana.

Usalama wa Taarifa za Biashara Yako

Faida360 hutumia udhibiti wa ruhusa na teknolojia salama kulinda taarifa zako dhidi ya matumizi yasiyoidhinishwa.

Muunganisho Salama wa HTTPS

Taarifa zinazotumwa kati ya kifaa chako na mfumo zinalindwa.

Uthibitishaji wa Hatua Mbili (2FA)

Ongeza ulinzi wa ziada kwenye akaunti yako.

Taarifa Kwenye Mfumo wa Wingu

Fikia taarifa zako kwa ruhusa kupitia simu au kompyuta.

Ruhusa kwa Kila Mtumiaji

Amua mfanyakazi gani anaweza kuona au kufanya nini.

Ripoti za Kibiashara

Hifadhi kumbukumbu zinazokusaidia kufuatilia mauzo na fedha.

Ufuatiliaji wa Matumizi

Shughuli za watumiaji zinaweza kufuatiliwa kwa uwajibikaji.

Udhibiti Salama

Linda akaunti na ruhusa za watumiaji

Imeundwa kwa Biashara za Tanzania

Fuatilia mauzo, bidhaa zinazoisha na fedha za kila siku bila kutegemea madaftari.

MR

Maduka ya Rejareja

Duka moja au matawi mengi

Simamia oda, stoo, bei tofauti na madeni ya wateja au wasambazaji.

BJ

Biashara za Jumla

Wasambazaji na maghala

Rekodi mapato, matumizi, wateja na malipo ili ujue faida halisi ya biashara.

BH

Biashara za Huduma

Saluni, gereji, ushauri na zaidi

Dhibiti malighafi, gharama za uzalishaji, bidhaa zilizokamilika na wafanyakazi.

BU

Biashara za Uzalishaji

Viwanda vidogo na vya kati

12+
Moduli za Biashara
TZS
Fedha ya Tanzania
Web + Simu
Fanya Kazi Popote
Dar es Salaam
Msaada wa Ndani

Bei Nafuu kwa Kila Biashara

Pata kila kitu unachohitaji kwa gharama nafuu. Hakuna ada zilizofichwa.

Msingi

TZS 50,000/mwezi

Kwa duka dogo au mfanyabiashara anayeanza kuweka kumbukumbu kidijitali.

  • Hadi watumiaji 3
  • Tawi 1
  • Matumizi kupitia simu na kompyuta
  • Stoo, mauzo na POS
  • Ripoti za msingi za fedha
  • Matawi mengi
  • Wafanyakazi na mishahara
  • Uzalishaji
Anza Sasa
Inapendwa Zaidi

Biashara

TZS 150,000/mwezi

Kwa biashara ya rejareja au jumla inayokua na yenye zaidi ya tawi moja.

  • Hadi watumiaji 10
  • Hadi matawi 3
  • Stoo, mauzo na POS
  • Ununuzi na wasambazaji
  • Wateja na madeni
  • Ripoti za fedha na uhasibu
  • Duka la mtandaoni
  • Msaada wa kipaumbele
  • Wafanyakazi na mishahara
  • Uzalishaji
Jaribu Bure

Kampuni

TZS 500,000/mwezi

Kwa kampuni yenye matawi, wafanyakazi wengi au shughuli za uzalishaji.

  • Hadi watumiaji 100
  • Hadi matawi 20
  • Simu, kompyuta na duka la mtandaoni
  • Wafanyakazi na mishahara
  • Uzalishaji na BOM
  • VICOBA na fedha ndogo
  • Uhasibu na ripoti za kina
  • Msimamizi maalumu wa akaunti
Wasiliana Nasi

Lipa kwa M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, au Benki

Mipango yote inaanza na majaribio ya siku 14.

Hatua 3 Tu

Anza kutumia Faida360 kwa hatua rahisi.

Hatua 1: Jisajili

Fungua akaunti yako kupitia simu au kompyuta.

Hatua 2: Weka Bidhaa

Ingiza bidhaa, bei na idadi iliyopo dukani au stoo.

Hatua 3: Anza Kuuza

Rekodi mauzo na uone stoo, matumizi na faida zikisasishwa.

Pata App
Sasa

Fungua Faida360 kwenye simu au kompyuta yako na uanze kusimamia biashara yako ukiwa popote. Kila kitu kinasawazishwa papo hapo.

Fungua moja kwa moja: app.faida365.com

Skani kufungua Faida360

Skani kufungua

Inafanya kazi kwenye kifaa chochote

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Pata majibu ya haraka kwa maswali yanayoulizwa mara nyingi.

Uko Tayari Kudhibiti Biashara Yako?

Acha kutegemea madaftari na makadirio. Anza kuona mauzo, stoo, madeni na faida ya biashara yako sehemu moja.

Muunganisho Salama
Ripoti za Biashara
Msaada wa Tanzania